Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
- Thread starter
- #101
Tena wa kitoto sometymz hua mbaya kweli maana unaweza hata kumsingizia mwenzako uongo au kutoa siri ili kukomoanaHivi hujawahi kusikia wivu mama yako mzazi anaitwa mama fulani yaani jina la dada yako au kaka ukaanza kujisikia mnyonge na kutamani aitwe mama shantel, hamuwezi amini hii ilinitesa sana utotoni hadi kukonda ila sasa hivi nikifikiria huwa nacheka na wala sijawahi kumwambia mama wala ndugu zangu.kwa hiyo wivu ni kwa wote hadi watoto nao wanasikiaga wivu