Wivu!!

Tena wa kitoto sometymz hua mbaya kweli maana unaweza hata kumsingizia mwenzako uongo au kutoa siri ili kukomoana
 
watu wenye mawivu utawajua tu. sasa ulifkiria nini hata ukaanzisha sredi la mawivu?, najua unamuonea mawivu mrembo flani (jina kapuni) kwakuwa yuko na mimi. lizzy bana!
 
Mmh Mzee DC kupata mtoto mzuri siyo ndani ya uwezo wetu?

How? Na mzuri wa aina gani unaongelea? Kama unaongelea mrembo wakati wewe si mrembo na baba si handsome basi unajidanganya!!

Kubali tu kwamba huwezi kumpata ili uhangaikie yale unayoweza kuyapata!! Umeelewa Lizzy?

Mzee DC! (wambie na wajukuu wangu wote wa zamani wasirudie tena kuniita babu, sawa!!)
 
watu wenye mawivu utawajua tu. sasa ulifkiria nini hata ukaanzisha sredi la mawivu?, najua unamuonea mawivu mrembo flani (jina kapuni) kwakuwa yuko na mimi. lizzy bana!

Naona wewe unaingia na U-turn kwenye uwanja wa Lizzy. Wewe pia huna wivu ni hizi kurasa 5 alizovuta?
 
Hahahaha Marytina usishawishike tu kumsaliti morani wetu.Alafu kumbuka na wewe unachangia...mwenzako anaweza asiwe muuza sura sana ila ukapata kacute balaa kama mwenyewe unalipa!
Hawa mahandsome boys wa ukweli wengi ni ovyo tena sana especially kuiongoza famalia.We live in order to pass our genes to next generation sasa hapo siwezi kabisa kufanya kosa la kumkubali mtu kisa sharobaro wakati ni mvivu sana kimawazo.Mimi sitaki kuja kuwa na mitoto nusu shoga.
 
watu wenye mawivu utawajua tu. sasa ulifkiria nini hata ukaanzisha sredi la mawivu?, najua unamuonea mawivu mrembo flani (jina kapuni) kwakuwa yuko na mimi. lizzy bana!
Hahahaha unalo!Wivu sinaga mie...
 
Hebu tema mate chini mdogo wagu...Hakuna mazazi yeyote anayetaka kumzaa mtotot asiye riziki...Ukishazaa fumba tu macho uombe Mungu akupe mtoto na si paka shume. Hata hivyo paka shume nao mwanzoni walizaliwa wakiwa paka wa kawaida!
 
Hahaha mzee DC bwana..unachoma mule mule!Ila mimi nimeshabahatika Marytina ndo anataka sasa!Kuhusu jina ikiwa ntakumbukwa na kupewa heshima kama mwanzilishi..ujumbe umefika!
 
Naona wewe unaingia na U-turn kwenye uwanja wa Lizzy. Wewe pia huna wivu ni hizi kurasa 5 alizovuta?
Natamani kukuita babu ila najizuia!Nwyz kama bibi hatajali naomba nikuandalie chakula cha mchana weekend hii kwa hii post!Chochote ukipendacho!
 
Basi usijali uzuri wa sura maana kwenu atakua mzuri tu kwa vyovyote!Ila tu usije ukaanza kumlinganisha mwanao na wa fulani au ukatamani angekua kama wa fulani!
 
Wivu unatesa sana jamani mtu unakuwa na wasiwasi masaa yote sababu ya wivu, Mie huwa nina wivu wa mapenzi hadi napata vidonda. lol
makazini nako usiseme ukiitwa na boss mara mbili baaas, wadada wengine ni wivu kwa kwenda mbele unaweza nuniwa bila sababu. Mi napenda watu wenye wivu wa maendeleo
 
nashkuru kwa kunipenda. ubarikiwe
 
Natamani kukuita babu ila najizuia!Nwyz kama bibi hatajali naomba nikuandalie chakula cha mchana weekend hii kwa hii post!Chochote ukipendacho!

Hivi umesema kuwa unapatikana Unga Limited au nakosea? Next week ndani ya nyumba. Bibi hana wasi wasi na Mzee wake. Hawezi kupata vidonda vya tumbo kwani muda aliokaa na mzee unamtosha kupigia mistari miwili, kama kalamba karata ya maana ua gharasha!

Hiyo lunch lazima ishughulikiwe..ngoja nitakutafuta kwa ajili ya logistics!
 
Watu wana namna hiyo ni wazuri kufanya nao kazi...Watakondeana kama unyasi wakati wewe unatesa. Challenges zao lazima zikuvushe hata madaraja ambayo hukuyawazia!
 
Mmh angalia usije ukafa kwa wivu bibie!Ila hao wa kazini unawaacha waendelee kununa wakati wewe na bosi mnajadili kuhusu kupandishwa kwako cheo!
 
Bibi mzuri kweli!UngaLDT ndo kwenyewe ila hujaniambia utapendelea chakula gani mzee DC!
 
Bibi mzuri kweli!UngaLDT ndo kwenyewe ila hujaniambia utapendelea chakula gani mzee DC!

Mhhh Lizzy,

Mdogo mdogo tutafika tu...Nitakustua kabla sijavamia ndani ya nyumba..Stay tuned!
 
tooooooooooooo looooooooonnnnngggggggggg...... know that we r using maniii
 
Ulitumia busara kweli BW...ndugu wa aina hiyo wanaweza kusababisha mtafaruku wa ajabu!

tena anashirikiana na watu wengine ambao sio ndugu kukusengenya
inauma lakini unakuta huna cha kufanya
pengine hata huna maendeleo ki vile lakini ndio roho zao zilivyo
ndio maana unaona mtu hapati maendeleo unajiuliza kwa nini kumbe ana roho korosho kwa binadamu wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…