Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ooh lord..!! Kwahiyo celebrities wote wa State ni masons au?Sio rahisi, currently they are reprogramming him, kwa hiyo nadhani wanamfunga mdomo kwa namna wanavyojua wao... Na atakaporejea atakaa kimya na hiyo ndo chance itakayomweka hai, otherwise wanaeza mtengenezea tukio na ukaskia amekufa kwa sababu ya drug addiction with excessive dossage.... Hawakawii kumwundia zengwe. History inaonesha wengi waliofichua live au hata kwa imagery hawakuishi mda mrefu, aaliyah, ashanti, pac na hata Steve Jobs
Why not? Unadhani hana akili yule jamaa? Au wewe unayachukulia yale maisha ya mbele ya kamera kana kwamba ndio maisha yake halisi? Shamefoolusiwe mjinga kihivyo.....nimeongelea mafanikio yangu wapi? I hope wewe ni mtu mzima au una akili timamu. Jiulize, as a black man....ungependa kuwakilishwa na Wiz Khalifa bungeni and why not? Dude is so fucking stupid.
Sasa wewe unataka watu waache ujinga wakati wewe ndiyo unakumbatia huo ujinga.usiwe mjinga kihivyo.....nimeongelea mafanikio yangu wapi? I hope wewe ni mtu mzima au una akili timamu. Jiulize, as a black man....ungependa kuwakilishwa na Wiz Khalifa bungeni and why not? Dude is so fucking stupid.
Sasa wewe unataka watu waache ujinga wakati wewe ndiyo unakumbatia huo ujinga.
Nani kakwambia Wiz Khalifa anataka akawakilishe watu bungeni?
Wewe inaonyesha umewaachia wanasiasa wakushikilie akili zako.
Wiz Khalifa is a free man. Seen?
And on top of that has only one life to lead.
Wiz yeye anapenda pop culture. Na ameamua kuishi vile anavyofurahia. Huoni hana wasisiwasi na nyie haters?
Life is one big road brother. Free yourself from hatred, mischief and jealous.
Nauhakika wewe unaishi maisha ya kawaida kawaida tu ndiyo maana unaona watu wanaoishi unapologetically bila kujali society inasema nini wanakushangaza.
Huwezi fikia vile spirit zao zipo juu.
One love from Mt Oldonyo Lengai.
Nani amewashupalia? Alafu inaonesha maisha ya wamarekani weusi yanakukosesha amani kiasi kwamba mpaka unawachukia, ukiulizwa sababu ya kuwachukia sijui kama utaitaja...
anyway hebu niambie umetumia kipimo gani mpaka ukagundua kwamba wiz khalifa hana akili?
Alafu mwisho uniambie kwamba Je, unayafikia mafanikio ya wiz khalifa japo robo tu?