Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Tatizo la watanzania bwana ni ujinga....usikute huyu mleta mada ni wale vijana wa kidigitali waliodanganya wanakwenda kusoma Marekani kisha wakafikia kuwa "wannabes." Marekani wamejaa sana wabongo wa dizaini hii, shule hawasomi wao wako bize tu kuiba, kulewa, kuchukuliana mabibi/mabwana, na kuiga wamarekani weusi kutwa kucha huku wakiwadanganya wenzao waliopo huku bongo walialikwa party kwa Kanye West. Wiz Khalifa is a useless man na hafai kusikilizwa kwani hata wamarekani wenyewe wanamjuwa kuwa he's a fucked up stoner and NEVER take him seriously isipokuwa mleta mada tu ambaye ni wannabe Mmarekani mweusi.