Wiz khalifa na Winnie harllow ndani ya penzi zito

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Winnie Harllow(24) na Wiz Khalifa(31) waangukia katika penzi zito || . Rapper huyo amesema supermodel huyo si tu kuwa ni mrembo bali ni mtu mwenye kujielewa pia.

Amberose ambaye alikuwa mke wa rapper huyo amewapa kila la Kheri wawili hao kwa upande mwingine Winnie Harllow ambaye ni raia wa Canada aliyeibuliwa na Tyra Banks kupitia American Next Supermodel career yake imezidi kuwa strong Kwa kuimarika siku hadi siku kwa makampuni makubwa ya kimataifa kumsainisha deals mbalimbali .

Kwa mara ya kwanza pia mwaka huu 2018 Winnie amepata deal kubwa la kuwepo katika Victoria Secret Show ambapo ataungana na supermodels wenzie akiwemo Herieth Paul wa Tanzania. Winnie amesema alikuwa na hofu kubwa kwenye auditions ya Victoria Secret kwasababu ni deal la brand kubwa linalootwa na wengi katika industry.
43378338_408921246308521_1399294396247977859_n.jpg
 
Hivi michael jackson alitudanganya kuwa vitligo ndiyo ilisababisha abadilike rangi ya mwili mzima? Mbona wote ninao waona wana huu ugonjwa ni mabakamabaka tu na sio mwili wote.
 
Kuanzia katikati mwa miaka ya 1980 imekuwa wazi kwamba mwonekano wa Jackson ulikuwa unabadilika bila kificho. Ngozi ya mwili wake imeanza kupauka, pua na umbo la sura yake imebadilika, na kapoteza uzito.

Ile hali ya mpauko wa ngozi awali ulisababishwa na vitiligo na lupus (ugonjwa wa ngozi ambao tiba yake ni tata) — ambao Jackson alijaribu kuutibia kunako mwaka wa 1986—na matumizi yake ya vipodozi mbalimbali ili kuficha madoa yake ya mwilini.[1] Baadhi ya madaktari wa upasuaji wamekisia ya kwamba pia alifanya "rhinoplasty" (upasuaji wa pua), kuinua paji la uso, upasuaji na usawazishaji wa kidevu, na kabadilisha vilevile midomo yake.[2] Hayo yote ya karibu yanakadiliwa kufanywa na mwimbaji huyo kunako miaka ya 1990, amepitia karibia michakato kumi ya kubadili umbo lake.

Source Wikipedia

Huyu jamaa naye alikuwa na drama nyingi sana, hii ishu ya vitligo huenda ni fix tu.
 
Hivi michael jackson alitudanganya kuwa vitligo ndiyo ilisababisha abadilike rangi ya mwili mzima? Mbona wote ninao waona wana huu ugonjwa ni mabakamabaka tu na sio mwili wote.
Inategemeana na effect yake imesambaa vipi. Kama imesambaa karibu kila sehemu ya mwili kuna matibabu yake.

Moja ya treatment ni kujichubua sehemu zilizobaki ili uwe na rangi moja yaan mweupe.

Kwa michael jackson alichotudanganya ni kwamba hakujichubua wakati ukweli ni kwamba alifanya hivyo.
 
Hapa nimeelewa mkuu.
 
Hivi michael jackson alitudanganya kuwa vitligo ndiyo ilisababisha abadilike rangi ya mwili mzima? Mbona wote ninao waona wana huu ugonjwa ni mabakamabaka tu na sio mwili wote.
MJ madai yake alikuwa nayo kweli hiyo vitiligo...sasa hayo mabaka mabaka ndo hakuyataka akaanza bleaching treatment, na multiple surgeries ili kuuficha huo ugonjwa!
 
Vitiligo alikuwa nayo. Kuna mwanaye wa kiume pia naona karithi. Tatizo lake alilazimisha kubleach ngozi ili kusawazisha mabaka yasionekane
Mwanae yupi mwenye vitiligo???
 
Back
Top Bottom