Kampuni ya RED HILL NICKEL inatesa wafanyakazi wake kwa kutowalipa mishara ya miezi 2. Wanchi wa Dutwa pia walifanyiwa tathmini ya kulipwa maeneo yao kupisha mradi wa mgodi hadi sasa hawajafalipwa na kampuni haijawajulisha hatma ya ardhi yao.Je serekalini inataarifa hizi za huyu mwekezaji. Prof.Muhongo kazi kwako!