Balungi
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 234
- 162
Nchi hii imekuwa ya majaribio maana kila anayeingia katika wadhifa fulani anajitahidi kufuta/kurekebisha ya mwenzake ili kuleta mfumo mpya bila kujali athari zake kwa jamii na hii inatokana na udhaifu wa katiba iliyopo pamoja na watanzania kutojitambua. Kwenye elimu walianza wengine akaja MUNGAI nae akatibua pake na sasa tupo kwenye DIVISION FIVE, Tusipokuwa makini mengi yanakuja.
NAWASILISHA
NAWASILISHA