wizara ya afya, chuo gani wamenipangia?

wizara ya afya, chuo gani wamenipangia?

Edgar Michael

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
22
Reaction score
7
Et! naweza kujua nimepangiwa chuo gan cha cha afya kwa sasa, maana naskia kunawatu washajua wapi wamepangwa?
 
www.moh.go.tz,kama jina lako ndio hilo unalotumia humu j.f bac haujachaguliwa,nimejaribu kucheck.au uliapply chuoni bila kutumia NOAS
 
naomba niangalizie na mimi Gotfrida m Komba. if pocble
mi ni chet
 
Back
Top Bottom