Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello JF...
Naomba kuuliza kwa nini wizara ya Afya haiko responsive kukitokea milipuko ya magonjwa??.....
Week iliyopita karibu kila mtu Dar es Salaam alikua na mafua, nilitegemea serikali kuja public kama ni kitu serious tujue jinsi ya kujikinga, ama ni kitu tu cha kupita. Sometimes we just need assurance kwamba somebody outhere have answers... Sasa mkikaa kimya hamuoni mnatengeneza sintofahamu..?!
So far milipuko inakuja na kuondoka,
I'm worried huu UTAMADUNI wa kuweka Umma in the dark, Siku moja kitatokea God forbid kirusi/ mlipuko utakao wipe all of us ambapo labda simple steps zingetusevu..lol...
Nyie mnaonipigaga vijembe kwenye topics zangu mtajijuuuuu Becky kashaota ngozi ya kenge...mtajijuuu