the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Ndo ujue serikali ya MAGAMBA siyo kabisa...hv wizara n kwamb hawajui watu wako njia panda au wanafurah kuweka watu vroho juu,c watoe matokeo bhana
Kaka sor,naomba kujua khs qualfcation za kusoma dploma na certficate ya medicn
Nina B zote kwa masomo ya sayans olevel,naweza soma diploa?na chuo gan,ada ni kias gan?!
Ijumaa kila kitu nje jiandaeni wakuu,source mdau mwema wizarani.
eti mdau mbona mi nackia ni tar 15