wizara ya afya huku n kukomoana au!,!

wizara ya afya huku n kukomoana au!,!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
hv wizara n kwamb hawajui watu wako njia panda au wanafurah kuweka watu vroho juu,c watoe matokeo bhana
 
matokeo ya kujiunga na certificates au diploma y medicn,pharmacy na nurcng
 
Kaka sor,naomba kujua khs qualfcation za kusoma dploma na certficate ya medicn
 
wafanyakazi wa wizara wamesafiri na Vasco dA gama
 
yaan wamesema matokeo wanatoa wiki hii lakn cha ajabu website yao haifany kaz wanaifanyia matengenezo
 
Kaka sor,naomba kujua khs qualfcation za kusoma dploma na certficate ya medicn

peleka vyeti vya form four hakikisha umefaulu bios na chem bila kusahau maths na english pale wizarani ndo wanafanya hivyo..
 
web nying za tz wanapotaka ku-add kitu huwa wanazifunga kwanza ndo tunaambiwa ipo kwenye matengenezo, huenda itakapokua hewani itakua na majibu tayar
 
watu karibu tufukuzwe nyumban kwamba tumekula hela ya fees ile 15000...watujali bana..
 
msaada,,,,msaada wadau jinsi ya kupost thread vip nimechemka kabsa huku nina mambo makubwa mno..!
 
Nina B zote kwa masomo ya sayans olevel,naweza soma diploa?na chuo gan,ada ni kias gan?!
 
Ijumaa kila kitu nje jiandaeni wakuu,source mdau mwema wizarani.
 
Nina B zote kwa masomo ya sayans olevel,naweza soma diploa?na chuo gan,ada ni kias gan?!

Kwa akili inayofanyakazi kuwa ikiwa una B's katika Physics, Chemistry, Biology na Basic Math's, basi ni wazi kuwa ulichaguliwa kwenda A level. Hata kama ni kwa ajali, si rahisi kuachwa mtu mwenye pass kama zako.

Kwa wewe kuomba/kutamani kusoma Diploma course kwasasa, binafsi inanipa picha kuwa A level ulizungusha.

Hata hivyo kushindwa hatua moja si mwisho wa maisha ama mafanikio.

Muhimu ni kuwa unaweza kuomba na kupata nafasi vyuo vyote vya Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii vyenye kutoa Diploma courses ambazo kigezo kimojawapo ni matokeo ya Kidato cha Nne.
Pia vyuo vya Ufundi na vile vya Kilimo ambavyo matokeo ya Kidato cha Nne ni kigezo cha kuchaguliwa.

Tembelea mtandao wa Wizara husika.
 
kwli bana kiwe k2 cha ukweli sio magumashi ya kila sku.haya ni maisha Apex
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom