MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kwa mfano huyu anaambia watu watembee juani na wanywe maji yenye chumvi bila kutoa sababu zozote za kisayansi kisa tu ni mtu wa mazoezi.
Huu ni upotoshaji wa makusudi unaoweza kuleta madhara kwa taifa. Afya ni kitu sensitive sana haipaswi kufanyiwa mizaha. Waziri wa afya apige marufuku watu kama hawa.