Wizara ya Afya ikemee hawa madaktari feki wa mitandaoni wanaotoa shauri za kiafya zisizofaa

Wizara ya Afya ikemee hawa madaktari feki wa mitandaoni wanaotoa shauri za kiafya zisizofaa

Matunda sugar, maji ya chumvi unywe km unafanya mazoezi sana...niliona mahali sikumbuki walisema nini, ila kuna chemicals mwilini zinahitaji kuwa balanced na salted water, sio uweke chumvi nyingi kwenye maji, he is right kabla hujamdiscredit ungesema amekosea wapi.
Wewe mkewe ungesaidia kufafanua allichopost mumeo
 
Mganga mkuu wa serikali, Dr.Grace atawashughulikia. Mpe taarifa huwa hamung'unyi maneno.
 
Mitandaoni kuna fujo kuna makungwi ambao ndoa zimewashindwa,kuna wale washauri wa mapenzi ambao nao wanachwa kila siku, kuna washauri wa chakula hawajui hivyo vyakula vina vitu gani ndani,kwenye walimu wa mazoezi ndio usiseme wao wanashika misambwanda ya wake za watu watu na hawana wanacho kijua kuhusiana na mazoezi. Halafu kuna hao washauri wa Afya na wengi naona wamejikita kwenye afya ya akili, ukiwasikiliza ndipo unapojua wao ndio wenye hilo tatizo.

Halafu kuna wachambuzi mpira wa miguu ndio usiseme.
 
Kwa mfano huyu anaambia watu watembee juani na wanywe maji yenye chumvi bila kutoa sababu zozote za kisayansi kisa tu ni mtu wa mazoezi.

Huu ni upotoshaji wa makusudi unaoweza kuleta madhara kwa taifa. Afya ni kitu sensitive sana haipaswi kufanyiwa mizaha. Waziri wa afya apige marufuku watu kama hawa.

View attachment 3205527
Ungemwambia huyo "Ommy" akupeni maelezo ya kila dondoo kwa kina na faida zake kwa mshauriwa.
NB;Utandawazi umeekuja na utakuja na mengi mchanganyiko.Ni juu ya mlaji kutumia akili zaidi kuliko kupaniki.
 
Back
Top Bottom