Wizara ya Afya ikemee hawa madaktari feki wa mitandaoni wanaotoa shauri za kiafya zisizofaa

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Kwa mfano huyu anaambia watu watembee juani na wanywe maji yenye chumvi bila kutoa sababu zozote za kisayansi kisa tu ni mtu wa mazoezi.

Huu ni upotoshaji wa makusudi unaoweza kuleta madhara kwa taifa. Afya ni kitu sensitive sana haipaswi kufanyiwa mizaha. Waziri wa afya apige marufuku watu kama hawa.

 
Tanzania kuna tatizo kwa vijana hawa wanao pata followers na hawajui ni namna gani watawalisha followers wao madini...

Ndo unakuta mtu anaanzisha ratiba ya vyakula ukimuambia akutenganishie vyakula vya protein na wanga utaziba masikio ujuaji ni mwingi sana
 
Kuna Dr mmoja yuko Youtube alisema
  1. Watu wote wenye magari yauzeni mnunue baiskeli
  2. Watu wote hameni ndani muanze kulala kwenye miti
  3. Watu wote acheni viatu tembeeni peku kwenda kazini
 
Matunda sugar, maji ya chumvi unywe km unafanya mazoezi sana...niliona mahali sikumbuki walisema nini, ila kuna chemicals mwilini zinahitaji kuwa balanced na salted water,ila sio uweke chumvi nyingi kwenye maji, he is right kabla hujamdiscredit ungesema amekosea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…