#COVID19 Wizara ya Afya ikishirikiana na Wizara ya Viwanda ituletee kiwanda cha chanjo ya COVID-19

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Moja ya mapendekezo ya Tume iliyomshauri Mhe. Rais kuleta chanjo ilikuwa ni kujenga kiwanda cha chanjo kwa haraka. Napena kusisitiza kuwa pendekezo hili namba 7 lifanyiwe kazi kwa uharaka ule ule ili nchi isiingìe kwenye deni lisilo la lazima.
 
Inawezekana chanjo kutengenezwa hapa bongo?
 
Wenye nchi hawajaamua. Pesa wanayopewa Kwa ajili ya COVID, wanaooeleka kujenga madarasa, kama kweli itafika. Wanyonge tunashangilia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…