DOKEZO Wizara ya Afya Ingieni kazini. Kuna wahuni wanatengeneza janga la lazima, ARV zitaanza kuuzwa muda Si mrefu!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu serikali iko 5 steps ahead kwenye hilo

Sio Lazima wakutangazie
5 steps ahead ? Peleka huko Siasa chafu, Trump atangaze kujitoa WHO juzi, Leo tayari Serikali Ipo hatua Tano mbele .


Kua serious basi... Wautangazie Umma Sasa ili Utulivu utawale.
 
Hizo dawa Dunia inabidi waondoe intellectual property rights ziondolewe ili hata Tanzania na nchi nyingi ziweze kuzizalisha kwa gharama nafuu sababu HIV nini janga la dunia nzima.
 
Hizo dawa Dunia inabidi waondoe intellectual property rights ziondolewe ili hata Tanzania na nchi nyingi ziweze kuzizalisha kwa gharama nafuu sababu HIV nini janga la dunia nzima.
Ni sahihi usemacho ila hakiwezi kubalika Kwa watu wale !! Wanalinda Ile 'Know how'.
 
 
Ni sahihi usemacho ila hakiwezi kubalika Kwa watu wale !! Wanalinda Ile 'Know how'.

Kuna tiba za magonjwa mengi hstarishi ni bure katika jitihada za dunia kutokomeza magonjwa hatari duniani. Inahitajika kampeni dunia kukaa pamoja.
 
Kwanini unawaza hivyo?
Wewe unavyoona hivi sasa zikigawiwa bure unafikiri zinadondoka kwa mvua?
Kama USA na Ulaya ARVs zinauzwa, nini cha ajabu ikiwa hapa Africa zitakuja kuuzwa?
umemuelewa lakini mtoa mada
umeelewa point yake lakini

ARVs ni free duniani kote zipo katika mpango wa WHO duniani kote kwa kila NCHI

hizo zinazouzwa labda useme CUSTOM MADE
yaan uweke wewe mwenyewe ORDER MAALUM
kam unavyoona mseto kwa TANZANIA bei yake kila mtanzania anaidumu wengine wanaona mseto inawaletea side effect nyingi ndo wanaenda kunua binafs
 
Kweli kabisa Mkuu , yaan Wizara ya Afya ilitakiwa ije na mpango mkakati wa dharura .

Ila wamelala !!


Mimi nilipenda Dkt Gwajima alivyokua Proactive
Kuna jambo nimeliona, kwa trending hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nicheke kama mazuri ila mmh' sijui
 
Hivi akili yako ilo sehemu gani ya hiyo anus yako?

Unadhani serikali is not working on the matter?
Acha kutukana watu bana - wewe ndo serikali- huo uchungu mpaka wa matusi unatoa wapi? Kwa nini usiseme huo mpango, humu tunatumia majina fakes..shida iko wapi ukiongea..??
 
Mjinga Mmoja wee, Unatumia makalio kufikiria?.

It doesn't matter if the government is working on it or not, the first responsibility of the government was to calm the ARVs user community.
Ungeongea Kwa utuo basi sio unalaumu tu
 
Upo sahihi kabisa
Hakuna siku ARV zinaweza kuadimika au kuuzwa, ila wajinga ndio wanaeneza uvumi na kusababisha pressure zisizo na mashiko
Hiyo siku ikifika utakumbushwa
 
Upo sahihi, lakini kwanza marekani imesitisha kwa muda wa siku 85 pekee na lengo ni ukaguzi wa pesa kama kweli huwa zinafika kunako husika.

Sasa ukisema bunge lijadili kama emergency case ni kuleta pressure ambayo haina mantiki kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…