DOKEZO Wizara ya Afya Ingieni kazini. Kuna wahuni wanatengeneza janga la lazima, ARV zitaanza kuuzwa muda Si mrefu!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Domino effect..
Ni kama vita ilipiganwa Ukraine tukauziwa chapati moja aftatu......
Soon mtaona effect ya mzee trump....
 
Waingie kazini kuanza kutengeneza zao
Wataalam si wapo?
Au wakaibe ujuzi Msumbiji
 
Why waste your time and energy in arguing with a fool?
The guy is a fool who doesn't know how dangerous is when you withhold such important information regarding ARVs, they are about to create unnecessary curtail and availability of counterfeit drugs.
Nitajuaje kama mmeukumbatia.

Ni sawa na MTU Mjinga kukaa kimya alafu akuambie 'Kukaa kimya pia ni jibu'.
 
Najiuliza swali; wao wanaotupatia bure, wao wananufaika na nini?
 
Mbaya zaidi huko bungeni ndio kuna wahanga wengi wenye uhitaji wa ARVs
 
Mkuu wewe umejiandaaje kubutua pesa kipindi hiki cha panicking?
 
Mwaka huu ni Dawa ni Bure NETANYAHU NA JOEBIDEN WASHATOA mwaka kesho ndio itakuwa changamoto kidogo so Anza kutunza pesa au Fanya ni pm nakupa dawa za kienyeji unapona
 
Uko na uhakika wa hizo steps ahead? Na kwanini sasa iwe steps behind kwenye uvumi unaoleta hofu pasipo kuuondoa?
Siasa kwa mambo muhimu sio tija
 
Hizi nyuzi zinatosha sasa! Tuwaache ndugu zetu waishi kwa matumaini.
Ni kweli kabisa mkuu.
Hata wao hawajui wanazidi kuleta taharuki? Ndio maana serikali imekaa kimya ikitafakali wapi kwa kuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…