Wizara ya afya itatoa lini post za wanafunzi?

Taarifa za mwaka jana walitoa mwezi wa 10 sasa sisi itakuaje au ndio kama mwaka jana
 
Ila walistahili watoemapema ili tuliotegemea huko tujue cha kufanya kama tumechaguliwa au tumekosa maana mwaka ndio huooo!!!Unaisha
 
Yaa ingekuwa vyema kama wange tumia system kama za kwingine kama vile ualimu na vyuo vyingine ingekuwa poa sana labda kama sasa hivi ushajua unaenda wapi unaanza fanya maandalizi tu ila wao.
 
Kwani wengi uwa hawaitazami hyo au ni vipi na hivi kama umechaguliwa ktk kozi hyo unaruhusiwa kubadilisha au wao wanaweza kubali hlo ?
 
Sikuichagua kuna ndugu yangu ndo kaombea hyo ila nasikia haina ushindani kabisa ni kweli?
 
but inategemea na pas mak zako..kama una bioz-C,na masomo mengne ya sayans D,na uliomba cheti clinical medcn unaweza pata ila kama uliomba co na una D ya bioz czan kama utachaguliwa..na koz ya lab somo lamcng wanaloangalia uwe na C ya chem kwa diploma..au D ya chem cheti...ila kama uliomba asstant ya co una d ya bioz possibity ya kuwa selected ni ndogo....kama mimi na div 4 ya 30 then chem-c,phy-f,bios-d,Bmath-d,but f ya phy ndo inaninyima raha kabisa
 
Pitia web ya wizara ya afya kuna announcement inasema hivi, TANGAZO LA SHULE MASAFA 2014. sijalielewa vizuri sijui ndo yashaanza au vipi check hyo.
 

ndg zangun omben Mungu kupata ni bahat mm niliomb mwaka jana hyo co nikiwa na dvs 2 ya 4m 4 with b in phys,c in chem,maths,bios,eng na a level pcb with dvt 3 nikiwa na e bios,chem s ya bam na gs ila f ya phys,nikakosa aise
 
Kwenye hyo pcb ya a level tatizo ni hyo phy kibaya zaidi pia hapo hapo ulipoomba ww kulikuwa na a level wenzako waliofanya vyema kukuzidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…