Sospetergideon
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 300
- 16
Muda ndo kitendawili maana yake hao jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa za mwaka jana walitoa mwezi wa 10 sasa sisi itakuaje au ndio kama mwaka jana
Eti vipi kuhusu health record technology hyo kozi nayo inaushindani?
Hiyo na nursing hazina ushindani vp uliomba na hiyoEti vipi kuhusu health record technology hyo kozi nayo inaushindani?
but inategemea na pas mak zako..kama una bioz-C,na masomo mengne ya sayans D,na uliomba cheti clinical medcn unaweza pata ila kama uliomba co na una D ya bioz czan kama utachaguliwa..na koz ya lab somo lamcng wanaloangalia uwe na C ya chem kwa diploma..au D ya chem cheti...ila kama uliomba asstant ya co una d ya bioz possibity ya kuwa selected ni ndogo....kama mimi na div 4 ya 30 then chem-c,phy-f,bios-d,Bmath-d,but f ya phy ndo inaninyima raha kabisa