Wizara ya afya itoe waraka maalumu wa namna gani tiba asili inaweza kutumika katika vituo vya huduma za afya

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ni muhimu kwa wizara ya afya kutoa muongozo rasmi wa namna gani wataalamu wetu wa afya na vituo vya huduma za afya nchini vinaweza kutumia tiba asili katika kuwahudumia wagonjwa.

muongozo huu utaondoa sitofahamu mbalimbali za utaratibu wa tiba nchini.Wizara ije na sera na miongozo rasmi kuhusu hili ili kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini ambao hawajasomea tiba asili kuweza kutumia njia za asili kutibu.
 
Mama G humwambii kitu kachagua pesa , heshima na madaraka ya muda thidi ya utaalamu na utu.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…