Wizara ya Afya kwanini inakinzana na Masuala Ya Dini/Mwongozo wa Mwanadamu

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Wizara ya Afya jaribu kujitafakari... tumeletwa Duniani ili tuijaze Dunia, haya masuala ya uzazi wa Mpango unatoka wapi?

Kila siku wanawake wanalalamika wanaume hawana mbegu za kiume kumbe wanawake nao wako na matatizo yao kuhusu haya mavidoge mara sindano.

Mwanamke anameza vidoge ili hasibebe mimba kwa sababu gani kama sio malaya kahaba? Jamii maadili mabovu kila mwanamke anawaza kumilik gari kali nyumba nzuri anataka awe mtu fulan kwa hali yeyote.

We unamuawa mtoto je wewe mama ako angefanya hivo we leo ungetokea, wadada jirekebisheni hii tabia sio . Sasa hivi mnaenda kuzaa watoto machoko kwa sababu ya madawa hayo mnayokula kila siku kama chakula.

... Yangu ni hayo tu.
 
Bado una mawazo ya kijima sana, karne ya 21 watu wanazaa na wanatakiwa wazae kwa uzazi wa mpango.
 
Tanzania hata bado elimu ya uzazi wa mpango na huduma zake havijapewa uzito na msisitizo unaostahili ndio maana birth rate/wastani wa mwanamke kuzaa bado uko juu sana mara mbili kulinganisha na wastani wa kidunia.
 
Wizara ya Afya jaribu kujitafakari... tumeletwa Duniani ili tuijaze Dunia, haya masuala ya uzazi wa Mpango unatoka wapi?

Kila siku wanawake wanalalamika wanaume hawana mbegu za kiume kumbe wanawake nao wako na matatizo yao kuhusu haya mavidoge mara sindano.

Mwanamke anameza vidoge ili hasibebe mimba kwa sababu gani kama sio malaya kahaba? Jamii maadili mabovu kila mwanamke anawaza kumilik gari kali nyumba nzuri anataka awe mtu fulan kwa hali yeyote.

We unamuawa mtoto je wewe mama ako angefanya hivo we leo ungetokea, wadada jirekebisheni hii tabia sio . Sasa hivi mnaenda kuzaa watoto machoko kwa sababu ya madawa hayo mnayokula kila siku kama chakula.

... Yangu ni hayo tu.
Uzazi wa mpango ni agenda ya western. Ni moja kati ya New World Orders. Hata kuupiga vita uislam kwa kuupachika majina ya terrorists na kuvamia nchi zao na kuwauwa pia ni moja wapo ya agenda za New World Orders.
 
boko haramu wanaonewa sio terrorist wale ni wanasambaza dini
 
Back
Top Bottom