the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
kuna anefahamu kuhusiana na majibu ya wizara ya afya maana subira ss naona haivuti heri tena kwani dalili ya kukosa kote
Ebwana hata mie nishachoka sasa,maana mh!ngoja ngoja yaumiza matumbo.
kwan kwanza web yao ni ipi?
Kertel,hewan kupitia website ipi au wamesambaza vyuon n mpaka yabandikwe???????!
Hata sielewi kbsa wngne wansma tar01 yanatoka.
Moh.go.tz@i2thedi
2subir wiki ijayo wacpotoa tuanzshe maandamano
Hakianani wizara mlicho2fanyia co fair kabisa!
Mmetumwaga kama maji ya ukoko kwenye jalala!
Hvi vigezo vyenu ni vp? Me nashindwa kuelewa kabisa!!?
halafu kuna post za assitant medical wameweka file halafu ndan hakuna k2.