wizara ya afya!mbona hata website haifunguki!?

wizara ya afya!mbona hata website haifunguki!?

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
kuna anefahamu kuhusiana na majibu ya wizara ya afya maana subira ss naona haivuti heri tena kwani dalili ya kukosa kote
 
kuwa na subira:israel: mpaka j3 j4 kitaeleweka.:israel::israel::israel::israel:
 
kuna anefahamu kuhusiana na majibu ya wizara ya afya maana subira ss naona haivuti heri tena kwani dalili ya kukosa kote

Ebwana hata mie nishachoka sasa,maana mh!ngoja ngoja yaumiza matumbo.
 
Kertel,hewan kupitia website ipi au wamesambaza vyuon n mpaka yabandikwe???????!
 
Last edited by a moderator:
Hata sielewi kbsa wngne wansma tar01 yanatoka.
 
tushaliwa jamani. Fomu zmepotea na 15 elfu wamelamba. Hao ndo wazee wa kurrramba
 
Hakianani wizara mlicho2fanyia co fair kabisa!
Mmetumwaga kama maji ya ukoko kwenye jalala!
Hvi vigezo vyenu ni vp? Me nashindwa kuelewa kabisa!!?
 
Hakianani wizara mlicho2fanyia co fair kabisa!
Mmetumwaga kama maji ya ukoko kwenye jalala!
Hvi vigezo vyenu ni vp? Me nashindwa kuelewa kabisa!!?

Inawezekana pengne form zetu wamezipoteza mana hata ao walochukua kidogo
 
halafu kuna post za assitant medical wameweka file halafu ndan hakuna k2.
 
Back
Top Bottom