Tatzo ni Fedha...
Serikali haina Fedha sasa hivi
Hata waalimu nao wametoswa mambo baado kabisa
Ingia halafu nenda kwenye kipengele cha online admission kama sijakosea
NACTE wameshaweka taarifa mtandaoni
habar zenu wadau,hivi maombi ya kujiunga na masomo kada ya afya 2015/2016 tayar yapo hewani au bado??mana huu ni mwezi april sasa.
application zilishaanza. Now you apply on line. Ingia nacte utapata maelekezo vizuri pamoja na ambao wanataka ku apply ualimu
Wachaka, pitia kiungo hiki kwa utaratibu wa kujiunga na kozi za afya mwaka ujao wa masomo.