CORONA VIRUS
ITALY: Lockdown
CHINA: Lockdown
DENMARK: Lockdown
NORWAY: Lockdown
IRELAND:close all school and cancel mass gathering
USA: close all school and ban European plane
TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka [emoji848][emoji1787][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watanzania hatujajua kuwa Kwa sasa kila idara, kila wizara na taaasisi zake mwaamuzi ni magufuli, hao wengne tunawaonea, kila Jambo liwe la kitaalamu dogo Au kubwa linaamuliwa na kutolewa maelekezo na mtu mmoja tu, ukiamua peke yako yanakukuta ya kangi lugola, hivyo hao wakuuu wa wizara wanasubiri muongozo toka kwa magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hata mgonjwa akigundilika lazima Magufuli athibitishe kwanza kwa kunusaTatizo watanzania hatujajua kuwa Kwa sasa kila idara, kila wizara na taaasisi zake mwaamuzi ni magufuli, hao wengne tunawaonea, kila Jambo liwe la kitaalamu dogo Au kubwa linaamuliwa na kutolewa maelekezo na mtu mmoja tu, ukiamua peke yako yanakukuta ya kangi lugola, hivyo hao wakuuu wa wizara wanasubiri muongozo toka kwa magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaa Mikocheni kwa warioba siku ya 11 leo maji hayatoki sasa hayo maji ya kutiririka nayatoa wapiCORONA VIRUS
ITALY: Lockdown
CHINA: Lockdown
DENMARK: Lockdown
NORWAY: Lockdown
IRELAND:close all school and cancel mass gathering
USA: close all school and ban European plane
TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka [emoji848][emoji1787][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
HihihihihihiNi kweli hata mgonjwa akigundilika lazima Magufuli athibitishe kwanza kwa kunusa
Nunua maji ya yatiririshe, yaweke kwenye ndoo yenye kabombaNakaa Mikocheni kwa warioba siku ya 11 leo maji hayatoki sasa hayo maji ya kutiririka nayatoa wapi
Ni kweli hata mgonjwa akigundilika lazima Magufuli athibitishe kwanza kwa kunusa
Kuna muda issue serious ye anachomekea story za mapenzi yani hotoba zake hazikosi vineno vya mapenzi aiseeuku jiwe akiwa jukwaani ana waza kuwachekesha wanachi na vi verse vya mapenzi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point kubwa sana. Nina mashaka na ule ukanusho wa waziri juu ya mgonjwa wa moshiTatizo watanzania hatujajua kuwa Kwa sasa kila idara, kila wizara na taaasisi zake mwaamuzi ni magufuli, hao wengne tunawaonea, kila Jambo liwe la kitaalamu dogo Au kubwa linaamuliwa na kutolewa maelekezo na mtu mmoja tu, ukiamua peke yako yanakukuta ya kangi lugola, hivyo hao wakuuu wa wizara wanasubiri muongozo toka kwa magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mambo mengin yaendeleeeukishamaliza kuosha mikono yako, msipigane mabusu