Wizara ya afya mizaha mtaacha lini?

Wizara ya afya mizaha mtaacha lini?

MANIAJE

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
244
Reaction score
461
CORONA VIRUS
ITALY: Lockdown
CHINA: Lockdown
DENMARK: Lockdown
NORWAY: Lockdown

IRELAND:close all school and cancel mass gathering

USA: close all school and ban European plane

TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka [emoji848][emoji1787][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's crazy aisee..UG tu hapo wametuzidi akili
 
Tatizo watanzania hatujajua kuwa Kwa sasa kila idara, kila wizara na taaasisi zake mwaamuzi ni magufuli, hao wengne tunawaonea, kila Jambo liwe la kitaalamu dogo Au kubwa linaamuliwa na kutolewa maelekezo na mtu mmoja tu, ukiamua peke yako yanakukuta ya kangi lugola, hivyo hao wakuuu wa wizara wanasubiri muongozo toka kwa magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CORONA VIRUS
ITALY: Lockdown
CHINA: Lockdown
DENMARK: Lockdown
NORWAY: Lockdown

IRELAND:close all school and cancel mass gathering

USA: close all school and ban European plane

TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka [emoji848][emoji1787][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app

ukishamaliza kuosha mikono yako, msipigane mabusu
 
umenena walibugi sna kumpa stelingi yule kipara
Tatizo watanzania hatujajua kuwa Kwa sasa kila idara, kila wizara na taaasisi zake mwaamuzi ni magufuli, hao wengne tunawaonea, kila Jambo liwe la kitaalamu dogo Au kubwa linaamuliwa na kutolewa maelekezo na mtu mmoja tu, ukiamua peke yako yanakukuta ya kangi lugola, hivyo hao wakuuu wa wizara wanasubiri muongozo toka kwa magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watanzania hatujajua kuwa Kwa sasa kila idara, kila wizara na taaasisi zake mwaamuzi ni magufuli, hao wengne tunawaonea, kila Jambo liwe la kitaalamu dogo Au kubwa linaamuliwa na kutolewa maelekezo na mtu mmoja tu, ukiamua peke yako yanakukuta ya kangi lugola, hivyo hao wakuuu wa wizara wanasubiri muongozo toka kwa magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hata mgonjwa akigundilika lazima Magufuli athibitishe kwanza kwa kunusa
 
CORONA VIRUS
ITALY: Lockdown
CHINA: Lockdown
DENMARK: Lockdown
NORWAY: Lockdown

IRELAND:close all school and cancel mass gathering

USA: close all school and ban European plane

TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka [emoji848][emoji1787][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaa Mikocheni kwa warioba siku ya 11 leo maji hayatoki sasa hayo maji ya kutiririka nayatoa wapi
 
Waziri wa afya amesahau maji Tanzania Ni janga Kama corona yenyewe.

Kwelii wizara ya afya inamfanyia mzaha huyu COVID 19.
 
Tz wanaona acha maisha yaendelee corona ije isije itajua yenyewe ata ivo kama umelijua hilo we chukua tahadhari kivyako ukisubiri serikali utachekwa na wachina waliotangulia uko kua we uliskia na hukuchukua tahadhari hadi umewafata kuzimuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani bado hatujui ni jinsi gani ugonjwa unavyoweza ukaharibu uchumi wetu pale utakapokuwa umeingia. Nchi kama marekani na baadhi ya nchi za ulaya zimeweza kuona impct ya ugonjwa huu. Tunachotakiwa ni kupambana ugonjwa huu usiingie lazima tuelewe hivi ni vita. Ukiingia nchini mwetu basi kazi ya kupambana nao ni kubwa zaidi
 
Tatizo watanzania hatujajua kuwa Kwa sasa kila idara, kila wizara na taaasisi zake mwaamuzi ni magufuli, hao wengne tunawaonea, kila Jambo liwe la kitaalamu dogo Au kubwa linaamuliwa na kutolewa maelekezo na mtu mmoja tu, ukiamua peke yako yanakukuta ya kangi lugola, hivyo hao wakuuu wa wizara wanasubiri muongozo toka kwa magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point kubwa sana. Nina mashaka na ule ukanusho wa waziri juu ya mgonjwa wa moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom