Wizara ya afya mwisho 9/11/2013.

Wizara ya afya mwisho 9/11/2013.

KISUNZU

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
43
Reaction score
5
Barua toka wizarani inasema ifikapo tarehe hyo uliyechaguliwa hujalipoti nafasi itachukuliwa na walio kwenye orodha ya reserve. Changamka ni jumamosi tu wiki hii.
 
Hawa jamaa hawaeleweki kabisa hawajatoa joining instruction, harafu taarifa ya awali inasema mwisho wa kuripoti ni tarehe 9 november, hapa kuna kupotezana maboya.
 
hawa jamaa hawaeleweki kabisa hawajatoa joining instruction, harafu taarifa ya awali inasema mwisho wa kuripoti ni tarehe 9 november, hapa kuna kupotezana maboya.

we nenda na mshiko kamili kama laki 5 au 4.
 
Jaman mbona majina ya reserve laborato ngaz ya chet siyaoni?
 
we njoo na laki 4 ya nusu muhula mie nxharipoti
 
Back
Top Bottom