serikali inakosa kodi kizembe kutoka kwa hawa mabwana na kusababisha wananchi kuuziwa visanvu kwa bei kubwa sana.Wale ni wezi na sisi mwanaume ukifika pale kupima lazima uambiwe una tezi dume ss nenda kwenye dawa sasa utachoka utaambiwa tumia dawa mara kuna dawa toka nairobi kwanza kama hawa watu wanataaruma