achen stress wakuu...kwa maelezo yao ya kina kuhusu point hiyo.kwa lugha yetu haya...ii) Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, itawasilishwa pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable). (iii)Malipo yaingizwe kwenye akaunti ,Health Service fund, Account No. 0111-030-12059 NBC CORPORATE BRANCH. (iv) Maombi yatakayopokelewa na kufanyiwa kazi, ni yale yatakayoambatanishwa na risiti ya malipo ya Benki, inayoonyesha kiwango cha malipo kilichotajwa hapo juu. (v) Maombi ambayo hayataambatanishwa na hati ya malipo ya Benki(Pay in Slip) na kivuli cha cheti cha Baraza la Mitihani cha kuhitimu Elimu ya Sekondari, hayatafanyiwa kazi. (vi) Maombi yote yatapokelewa kupititia kanda za mafunzo baada ya malipo kufanyika kwenye akaunti iliyotajwa hapo juu.