Kwa ghafla sana na pasipo maandalizi wizara ya afya imebadilisha kiasi cha ada ambapo kwa ngazi ya cheti tu ada kwa mwenye bima ya afya ni 880,000 kwa asiye na bima ni 930,000 watoto wa wakulima tutasoma kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.