Wivu kwa wafamasia bado inaendelea?Bodi ya Famasia watoke maofisini na kufanya kazi yao
Maduka ya dawa yanauza dawa hovyo bila maelekezo yoyote. Leo nimenda pharmacy moja akaja Mmasai mmoja na kudai apewe "RANGI MBILI"za elfu mbili, akapewa amoxicillin bila kuulizwa na kuelekezwa lolote [emoji24]
Mwandishi pia anaonyesha, Ubaguzi wa Makabila, akiamini Masai ndie mtu pekee anaweza ibiwa kirahisi au kupewa vitu vya ovyo.Bodi ya Famasia watoke maofisini na kufanya kazi yao
Maduka ya dawa yanauza dawa hovyo bila maelekezo yoyote. Leo nimenda pharmacy moja akaja Mmasai mmoja na kudai apewe "RANGI MBILI"za elfu mbili, akapewa amoxicillin bila kuulizwa na kuelekezwa lolote [emoji24]
Kwa Sasa mnaifanya kazi yenu ipasavy na soon ntaonesha ushirikiano kupitia katibuNdugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.
Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.
Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:
Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”
Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz
Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania
#TunaboreshaSektayaAfya
View attachment 1588107
kwenye vituo vya afya na hospitali muweke kondom za kike , maana saa nyingine unakuta unampa mwanaume mlevi hata kuvaa haewzi sasa nikiwa nayo navaa mapema kabla ya show.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.
Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.
Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:
Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”
Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz
Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania
#TunaboreshaSektayaAfya
View attachment 1588107
Mmmhkwenye vituo vya afya na hospitali muweke kondom za kike , maana saa nyingine unakuta unampa mwanaume mlevi hata kuvaa haewzi sasa nikiwa nayo navaa mapema kabla ya show.
Sawa tumekusikiaKwa kifupi,
Mtazameni huyu Bwana aitwaye Robert Heriel. Ni mwanahudhuri hapa JamiiForums.
Maandishi au makala zake ni za Kudumaza. Zinahatarisha Usalama wa Afya ya Jamii.
Ni maoni yangu.Asanteni.
Vyuo kaka wanafunzi weng wanakuwa wako field kwahyo ufanisi kwa kias fulani unapungua nimeumizwa mno na wife kujifungua kwa oparation na wakati dr mbobevu aliniambia kwa hali aliyokuwa nayo oparation haikuwa lazima basi tu kwasabab ya hosptal zetu wanafunzi weng ndo maanaSalaam
Naomba Kuuliza swali hili, MImi ni Mkazi wa Dar nina watoto 4 ...Kuna shida gani kwa wanawake asilimia 95 ya wakazi wa Dar wakibeba mimba hujifungua kwa upasuaji?? Je ni tatizo la tiba hafifu au ni maamuzi ya wanawake hao au ni kweli wote wana matatizo ya kiafya yanayoweza kuhatarisha usalama wao?? Ni kwanini Mkoa huu mmoja pekee na mingine haina shida hizo?? Katika Uzoefu wangu na watu wengi ninaowajua ikiwemo mke wangu tulienda Hospital mimba ya kwanza wakampasua ya pili tena...Ya 3 tukasema ajifungue huko vijijini akapush vizuri tu wala hakua na shida...Nauliza nyie Wizara mnajua hili wanaharibu wake zetu matumbo....