Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Punguza uchawi, sisi....Wakuu kwa wenye uzoefu, je ni sahihi DMO kua Nurse mwenye Diploma (RN)?, uku wilaya ya Nkasi tuna sitofaham hyo kwa sasa. DMO kaenda kusoma aliemkaimisha nafasi ni RN na wilaya ina watu wenye sifa za kushika hyo nafasi.
Wabongo matapeli
Wizara kama wizara. Hongereni kwa kazi. Hongera Katibu kwa kazi. Yangu machache. Nimekuwa na proposal fulani ambayo nilishafika hadi wizarani kipindi hicho ipo Dar. Wahusika pale danadana zikawa nyingi na hatimaye sikuweza kufanikisha jambo langu. Ningetamani sana kukutana na Katibu wa wizara ndugu Dr. Jingu ili aweze kuyasikia mapendekezo yangu tuone namna ya kufanya. Bila shaka uzi huu hauko hapa kwa bahati mbaya.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.
Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.
Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:
Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”
Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz
Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania
#TunaboreshaSektayaAfya
View attachment 1588107
Hili wazo la muimu sana afya ipewe kipaumbele sana, matibabu kwa mda na uraisi wa kupata huduma pia kipaumbele itolewe kwa wazee, wajawazito, watoto na wagonjwa wa dharula (emergency)Matibabu ongezeni madaktari ili kupunguza foleni muende na muda watu watibiwe haraka
Mtu kama hana pesa ya matibabu atibiwe haraka na awekewe u taratibu waa wakulipa polepole
Gharama za matibabu zipunguzwe tafadhali
Dawa zipatikane kwa wingi
Usivae kama ugomvi. Valishwa na mwenza wako haitachanikaCondom za Sasa hivi zimechakachuliwa
Unaweza kuta ukiwa katika jitihada za kuivaa tu mara unashangaa imepasuka Kuna jitihada zozote mlizochukua kulitokomeza hilo?
Sasa huyo waziri wa kulishuhulikia hili umemuona wapi?Kuna kipindi nilikuwa na mgonjwa hospitali ya umma ya Wilaya, akatakiwa ahamishiwe hospitali ya mkoa (ya rufaa), niliomba Ambulance ya kutoa mgonjwa kumpeleka hospitali ya Rufaa umbali wa kama kms 15.
kwa sababu hospitali ilikuwa karibu, nikaomba kama hawana waombe itoke kule hospitali ya Rufaa kwani nitachangia..
Nikajibiwa kuwa, zile Ambulance ninazo ziona kule Hospitali ya mkoa ni kwa ajili ya huduma ya mama na mtoto tu....Huwezi kuamini ilibidi nipeleke mgonjwa kwa kutumia gari ya private.
Naomba muongozo wa kupata Ambulance ukiwa hospitali za ngazi ya wilaya....kwani inaoneka huku chini (ngazi ya vituo vya Afya) wanatoa ushirikiano kuliko huku juu....
Wizara yoyote anayohudumu Jenister haina maajabu. Nivurugu tuWizara ya afya kitazameni chuo Cha Tabora EA polytechnic kwa karibu,
Wanafunzi wananyimwa kufanya mitihani kisa semester ya kwanza tu kisa kutokamilisha malipo ya ada hata kwa kiasi kidogo Cha elfu mbili au Tano kinachobaki, hii nimesikia wakilalamika kwamba Wana mitihani 24/2/2025 na wamenyimwa fursa hiyo hasa waliopo mwaka wa 2&3
Majaribio kwenye afya za watuSijui kama bado mnafuatilia hili jukwaa
Ila niseme tu hao ma itern mnapeleka huko Hospitali za Rufaa wanatoka Sifuri
Inamaana mkiwapeleka huko kuwapa Hospitali ndio wana anza kufanya practical
Nasema hivyo kwa sababu Nilikuwa na mgonjwa Hospitali ya Rufaa Ma intern wana hamishwa kila siku tatu fikiria kule wagonjwa wapo serious ...Intern anatoa dawa ndani ya siku tatu na hazija respond... amesha hamishwa
Sasa anakuja intern mwingine dawa zinabadilisha yaani kwa mtu mwenye Elimu kiasi anaona wale wapo pale kama wanazurura tuu...