Wizara ya afya tuwape ushauri

Wizara ya afya tuwape ushauri

0767854945

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
74
Reaction score
2
Ndugu zangu inasikitisha mpaka leo majina ya waliomba kusoma kozi mbalimbali kupitia wizara hawajatoa,maana tangazo lao toka mwezi wa kwanza haina maana kuwahisha tangazo wakati majibu mpaka sasa hakuna kitu hivyo nawaomba waige wizara zingine ambazo zilichelewa na majina tayari yalishatoka ,ushauri kama wanaona masomo yanaanza novemba basi maombi yaanze kutumwa mwezi wa 6 badala ya wa kwanza tumechoka kusubiri
 
kama wameona ushauri wako bila shaka watautendea kazi mkuu,. Kweli inachosha
 
Back
Top Bottom