0767854945
Member
- Jul 5, 2013
- 74
- 2
Ingizo jipya la JF ID ...4946 !! Ole wako hiyo namba ya simu haukupewa idhini kuitumia hapa jukwaani utakiona cha mtema kuni....
Watu tunafikiri yashatoka kumbe habari hizi!!!
Muda wwte wanaachia majina cha msing tuombeane tu ndugu zangu maana tumechoka kusubir
Tar 5-10 oct.
bado probability iz t
unajua hili ni jukwaa la watu wakubwa. sitaki comment za ajabu ajabu. Ifike mahala mwe na adabu.#probability iz it hivyo ndivo unategemea ukasome medical.
usipanic mkuu ni hali ya kutaka uhakika zaid maana toka isemwe yanatoka kesho mara keshokutwa ni kitambo we r tied enough xo ucnixome vbaya 2nataka uhakika wa yale uyasemayo maana wengne mikopo ishazngua wanategemea hyo 2 wangu
siku zote medical personel huwa hana maneno ya mtaan km #ishazngu ndo hzo comment za kijinga kijinga sitaki kuziona kwenye thread wakati unaulizia maswala ya ki-medical