Wizara ya afya tuwe tayari kwa kuyapokea majina yetu

Wizara ya afya tuwe tayari kwa kuyapokea majina yetu

0767854945

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
74
Reaction score
2
Muda wwte wanaachia majina cha msing tuombeane tu ndugu zangu maana tumechoka kusubir
 
Ingizo jipya la JF ID ...4946 !! Ole wako hiyo namba ya simu haukupewa idhini kuitumia hapa jukwaani utakiona cha mtema kuni....
 
Wape ukweli wao kwa maana wamezoea kuleta matusi na maneno mengine machafu wakizani wote ni watoto kama wao.
 
unajua hili ni jukwaa la watu wakubwa. sitaki comment za ajabu ajabu. Ifike mahala mwe na adabu.#probability iz it hivyo ndivo unategemea ukasome medical.

usipanic mkuu ni hali ya kutaka uhakika zaid maana toka isemwe yanatoka kesho mara keshokutwa ni kitambo we r tied enough xo ucnixome vbaya 2nataka uhakika wa yale uyasemayo maana wengne mikopo ishazngua wanategemea hyo 2 wangu
 
siku zote medical personel huwa hana maneno ya mtaan km #ishazngu ndo hzo comment za kijinga kijinga sitaki kuziona kwenye thread wakati unaulizia maswala ya ki-medical
 
ngoja mie nikaripoti kesho lugalo military medical school.government majanga.japo niliomba co na lugalo nako co.vumilieni vijana.
 
Back
Top Bottom