Mimi hapa nilipo roho ipo juu,
maana mwaka jana niliomba,
result zangu ni kama hivi
physcs-C,
chemistry-C,
biology-B,
english-C,
mathmatics-D,...sikufanikiwa kupata,hapa nilipo uwezo wangu duni maana kuna wadogo zangu wanahitaji kusoma pia,..yaani naomba mungu anione huu mwaka lakini wanavozidi kuchelewesha ndivo nnavoona maisha yangu yanakosa muelekeo katika elimu maana sioni njia nyingine,nimekaa nyumbani tangu 2011,.daah!