PostGE2025 Wizara ya Afya: Video inayosambaa mitandaoni ikionesha miili ya watu Mwananyamala Hospital imetengenezwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA
Wizara ya Afya imeona picha ya video inayoonesha miili ya watu ikiwa imewekwa pamoja na kuelezwa kwamba hapo ni Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Wizara inapenda kukanusha uhalisia wa video hiyo ambayo imetengenezwa na wa-halifu wenye nia ovu ya kuichafua nchi yetu.

Wizara inawataka wote wanaotengeneza picha za kuzua taharuki na kuzihusisha na vituo vya kutolea huduma za afya kuacha mara moja na inawasihi wananchi kuacha kusambaza picha hizo kwa kuwa kufanya hivyo ni kuvunja Sheria.

Wananchi mnaombwa kuendelea kuziamini huduma zinazotolewa katika hospitali, vituo vya afya na zahanati zetu kwa kuwa huzingatia weledi unaojali utu na msingi wa maadili ya utabibu.

Imetolewa na
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
WIZARA YA AFYA​
Novemba 16,2025

photo_2025-11-16_11-18-14.jpg

​
Soma Zaidi
 
View attachment 3502610
​
Soma Zaidi
Kujificha kwenye shamba la karanga
 
Serikali haiwezi kumpangia mwananchi apokee taarifa zipi.Wao wametoa ufafanuzi ni sawa, lakini wananchi nao wameona kila mtu kwa namna yake.

Watulie waache kusumbua watu bhana.Wameshawaua bado wanalazimisha ufafanuzi wa nini.Sikusoma graphics au video editing au hizi mnaita AI lakini ukweli ni kwamba hile video ni ya kweli basi(ndicho ninacho amini na sitaki mtu anipangie cha kuamini kwa sasa)
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA
Wizara ya Afya imeona picha ya video inayoonesha miili ya watu ikiwa imewekwa pamoja na kuelezwa kwamba hapo ni Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Wizara inapenda kukanusha uhalisia wa video hiyo ambayo imetengenezwa na wa-halifu wenye nia ovu ya kuichafua nchi yetu.

Wizara inawataka wote wanaotengeneza picha za kuzua taharuki na kuzihusisha na vituo vya kutolea huduma za afya kuacha mara moja na inawasihi wananchi kuacha kusambaza picha hizo kwa kuwa kufanya hivyo ni kuvunja Sheria.

Wananchi mnaombwa kuendelea kuziamini huduma zinazotolewa katika hospitali, vituo vya afya na zahanati zetu kwa kuwa huzingatia weledi unaojali utu na msingi wa maadili ya utabibu.

Imetolewa na
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
WIZARA YA AFYA​
Novemba 16,2025

View attachment 3502610
​
Soma Zaidi
Sisi sio wajinga....
 
Hawa jamaa bado wanazani wana ongoza nyani au tupo 1980, saivi wasomi ni wengi na ajira hakuna mda wa kufanya critical analysis ni mwingi kuliko wangekua na ajira huo mda wa kuzingatia ma video wasinge pata
 
Back
Top Bottom