Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kujificha kwenye shamba la karangaJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIASoma Zaidi
WIZARA YA AFYA
Wizara ya Afya imeona picha ya video inayoonesha miili ya watu ikiwa imewekwa pamoja na kuelezwa kwamba hapo ni Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Wizara inapenda kukanusha uhalisia wa video hiyo ambayo imetengenezwa na wa-halifu wenye nia ovu ya kuichafua nchi yetu.
Wizara inawataka wote wanaotengeneza picha za kuzua taharuki na kuzihusisha na vituo vya kutolea huduma za afya kuacha mara moja na inawasihi wananchi kuacha kusambaza picha hizo kwa kuwa kufanya hivyo ni kuvunja Sheria.
Wananchi mnaombwa kuendelea kuziamini huduma zinazotolewa katika hospitali, vituo vya afya na zahanati zetu kwa kuwa huzingatia weledi unaojali utu na msingi wa maadili ya utabibu.
Imetolewa na
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
WIZARA YA AFYA
πππKujificha kwenye shamba la karanga
Sisi sio wajinga....JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIASoma Zaidi
WIZARA YA AFYA
Wizara ya Afya imeona picha ya video inayoonesha miili ya watu ikiwa imewekwa pamoja na kuelezwa kwamba hapo ni Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Wizara inapenda kukanusha uhalisia wa video hiyo ambayo imetengenezwa na wa-halifu wenye nia ovu ya kuichafua nchi yetu.
Wizara inawataka wote wanaotengeneza picha za kuzua taharuki na kuzihusisha na vituo vya kutolea huduma za afya kuacha mara moja na inawasihi wananchi kuacha kusambaza picha hizo kwa kuwa kufanya hivyo ni kuvunja Sheria.
Wananchi mnaombwa kuendelea kuziamini huduma zinazotolewa katika hospitali, vituo vya afya na zahanati zetu kwa kuwa huzingatia weledi unaojali utu na msingi wa maadili ya utabibu.
Imetolewa na
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
WIZARA YA AFYA
hawa nao waoga unaowaita hawawezi fanya hivyo emu ngoja niwatag JamiiCheckJamii check tufanyieni kazi ya Kitume tafadhali