hii wizara sijui ni vp? nanukuu hii kauli yao kwamba, Majibu ya maombi kwa waliochaguliwa yanapatikana pia kwenye kanda na vituo ambako
waombaji wote walipeleka maombi yao. mimi nipo singida kanda ambayo nilituma maombi yng ni kibaha ina maana nitoke singida hadi kibaha? kama kuna mtu anaweza kunisaidia majina ya zonal ya kibaha nitashukuru. asubuh njema wana jf.
LINK yako haifunguki mkuu.