wizara ya afya vipi mbona siwaelewi?

wizara ya afya vipi mbona siwaelewi?

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
hii wizara sijui ni vp? nanukuu hii kauli yao kwamba, Majibu ya maombi kwa waliochaguliwa yanapatikana pia kwenye kanda na vituo ambako
waombaji wote walipeleka maombi yao. mimi nipo singida kanda ambayo nilituma maombi yng ni kibaha ina maana nitoke singida hadi kibaha? kama kuna mtu anaweza kunisaidia majina ya zonal ya kibaha nitashukuru. asubuh njema wana jf.
 
Matokeo yote yapo hapa.
www.moh.go.tz/index.php?option=com_jdownloads&view=viewcategory&catid=34
 
Sijui kueka link, jaribu kuicopy na ipaste kwenye web adress

kwenye website ya wizara nimeangalia tangazo lao linasema nikaangalie kwenye zonal ambayo nilituma maomb yangu.
 
Back
Top Bottom