Wizara ya afya "wale walemavu feri wasaidieni kuwapeleka vituoni"

Wizara ya afya "wale walemavu feri wasaidieni kuwapeleka vituoni"

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
350
Reaction score
338
Hakika idadi ya Walemavu inazidi kuongezeka pale Feri upande wa Magogoni.Walemavu hao wamejaa milangoni Na ndani ya Lounge utawakuta wamelala kutokana Na ulemavu wao.In vema Wizara husika ya Afya kitengo cha ustawi wa jamii kikawatembelea walemavu hao Na kuwaondoa Na kuwapeleka kwenye vituo vyake ili kuweze kuwahudumia.

Pia kuwa Tabia ya baadhi ya walemavu wasioona kutumia watoto wadogo kuwatembeza kuomba msaada wakati hao watoto wangepaswa kuwa shuleni.

Kwa kuwa Serikali hii imepanga kuwasaidia wanyonge wa nchi hii ni vema ikawasaidia hao walemavu kuliko kuwaacha wanazagaa pale Feri.
 
Back
Top Bottom