Yeye ana fikiri kuna unafki huko kwenye viongozi wa kanisa, kama ambavyo yeye alivyo, na wateule wake wanavyo mfanyia. Kichwani huyu jamaa sio mzima..Ni vita ukikutwa umevaa barakoaView attachment 1708039
Tamko la Wizara husika ni pamoja na maombi! Hatujasikia chochote juu ya mpango kazi wa Wizara kuhusu tiba sahihi, upatikanaji wa dawa, vifaa tuba na PPE kwa watoa huduma kama Madaktari, Manesi, Wataalam wa Maabara ni Hatujasikia tamko la kitaalam kuhusu chanjo zinazotumika Duniani au hata zile dawa za Madagascar.
Mkuu tupeane moyo tu,kwa kweli hali ni mbaya hasa mkoa wa Arusha corona iko.Tanzania kuna korona? Tunaomba takwimu za maambukizi na vifo. Nyambafu!
Ni bendera fuata upepo. ni waoga kiasi kwamba uoga huo umepelekea tumekuwa waanfki.Ndo maana nawakubali Wakenya kwenye kutetea haki zao, Ila sisi Watanzania ni bure kabisa tupo Kama bendera hata kama tunaumia ni kutetea ujinga tuu!!
Liko linahoroja huku (in mpenzi wangu Faiza Foxy's voice)Mwenzao huku anapambana na wanaochukua tahadhari.View attachment 1708038
Mna uhakika hili siyo tamko la viongozi wa dini? Nchi ipo sehemu mbaya sana. Serikali inachukuwa sehemu ya viongozi wa dini. Wamekaa mpaka wakasikia kwanza ''waliyemkabidhi ubongo wao'' anasema nini na wao wanakariri.Tamko “linawasihi na kuwasisitiza” watu wajichukilie hatua muhimu wao wenyewe.
Serikali inatamka wazi kwamba kila mtu abebe msalaba wake. Wao hawana mpango wa kuwabana wageni kuja wamepima wala kuongeza PPEs na Ventilators huko hospitalini..