Wizara ya Afya: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

Asante kanisa katoriki tokea ule waraka mlioutoa baada ya kufa Kwa maaskofu.wengine wameona aina jinsi sasa wameamua kusema kweli. Na katika ukweli huu tulioukiri ndipo MUNGU ataanzia KUTUPONYA. Maana angeponya nini na tulikuwa tunakiri hatuna covid 19 kwenye taifa letu?
 
Natamani aende kwenye Misa inayoendeshwa na Mhashama Askofu Mkuu Yuda Thadeus Ruwa'ich halafu wapende hizo Barakoa! Mzee huyu hana busara kichwani kabisa!!
 
Sasa ndo wale wa sitimbi wataanza kuchukua tahadhari
 
Mimi niseme tu kwa hili sijamuelewa Mhe.Rais sasa anatuhimiza tuchukue tahadhari au tumuachie Mungu mbona anawasema tena waliovaa barakoa.

Hili la rais, kila mtu anapaswa kuchangnywa na za kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…