#COVID19 Wizara ya Afya yakanusha uvumi kwamba Waziri Mkuu alisema hakuna Wimbi la Nne la UVIKO-19

SIELEWI NISHIKE IPI NIACHE IPI

CONFUSED😵‍💫😵
 
Dah! Ngoja nitasoma tena wiki ijayo maana leo nimeishia kwenye kichwa cha habari tu.
 
Kama Mungu Jehova alivyotuvusha kwenye mawimbi yote yaliyopita ndio ametuvusha na hapa,na ndio atatuvusha na mawimbi yajayo km yapo
 
Uyo waziri mkuu hizo piko anazopakaa kichwani zimemuharibu ubongo, muongo muongo sana alafu hachagui pakuongopea yaani mpaka msikitini anaongea tu uongo
 
Covid 19 ni siasa na pia ni suala linalohusu uchumi wa nchi. Taarifa kwa umma kuhusu covid 19 waachiwe wanasiasa wenyewe ambao kwa wizara ya afya ni waziri wa afya pekee. Hao wengine kama katibu mkuu na mganga mkuu wa wizara ni washauri tu wa waziri wa afya ambaye ndiye msemaji wa wizara. Short of this itapelekea mkanganyiko ndani ya serikali na kwa umma. 'The boss is always right' should be the principle of governance. Tumeona wakina Polepole, Gwajima na Silaa wanavyopata taabu despite kwamba they were perfectly right!
 
Kimsingi taarifa zote hizi ni sahihi na wala hazipingani kabisa. Hii ni kwa kuwa, kuongezeka kwa maambukizi au Visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi na kitaalamu hii hujulikana kama resurgence of new cases (kuongezeka kwa maambukizi mapya
Uongozi bora ni ule unaotoa kauli zisizo na mkaganyiko. Inapotokea mkaganyiko kwa kisingizio cha lugha ya kitaalam wakati unajua ujumbe unatolowa kwa watu wasio wataalam basi kuna shida.
 
Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa Mpaka sasa hivi,
1.Je akiugua Corona sasa hivi atakuwa ameugua corona ipi? Ile ya Kwanza,Ya Pili ya Tatu au hii Omicroni?
2.Je Ina Maana Zile Corona na Mwanzo Hazipo?Kama Zipo Zina Nguvu ya Kuwashambulia watu wasiochanjwa?
Kama Hazina Nguvu sasa Wasiochanjwa wamepata Kinga ya Mwili?
3.Hii Omicron na Yenyewe Kuna watu wamepata Mafua na Homa za Hapa na Pale na Wanaendelea Ku recover na Hawajachanjwa sasa Baadae Wakihitajika Kuchanjwa wanachanjwa kwa ajili ya wimbi lipi?
Kuanzia La Kwanza?Au hili la Sasa hivi?
Naomba Majibu wataalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…