doto mgonidugulu
New Member
- Jul 25, 2012
- 2
- 1
Majibu ya waliyoomba kujiunga na vyuo vya afya vya selikali bado. lini huwa yanatoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia hadi mwezi wa 10...hawa jamaa wanakata stimu kweli, manake nasikia kuanzia mwaka huu watakaojiunga na Clinical Officers na Nursing ni wale walifika form six tu...wale wa fom 4 labda ni certificate basi!!
Ngoja tuone
mwez wa 9 mwanzon wanaweza wakatoa 1 oct c ndo watu wanatakiwa kuripot vyuon kwhy 2omben mungu.
Nimesikia hadi mwezi wa 10...hawa jamaa wanakata stimu kweli, manake nasikia kuanzia mwaka huu watakaojiunga na Clinical Officers na Nursing ni wale walifika form six tu...wale wa fom 4 labda ni certificate basi!!
Ngoja tuone
Mwaka huu wamekaza kinoma sabu kwa pcb form six ni lazima uwe na principle zote 3 kuanzia 'E' ili ujiunge na diploma. sijui hata itakuwaje
yaani we unataka kupata diploma na form 4 yako wakati kuna pcb,cbg kibao wenye 4? Unajua elimu ya afya inadharauliwa sana,siku hizi hata walinzi wa hospitali mitaani wanajiita madaktari! Nursing assistant ndo kabisa anatamani kufanya c/s.
co ivo wanatuweka sana bn awa watuy