Wizara ya afya

Wizara ya afya

Sijui ni lini yanatoka mimi pia nayangoja kwelikweli.
 
Nimesikia hadi mwezi wa 10...hawa jamaa wanakata stimu kweli, manake nasikia kuanzia mwaka huu watakaojiunga na Clinical Officers na Nursing ni wale walifika form six tu...wale wa fom 4 labda ni certificate basi!!

Ngoja tuone
 
yaani we unataka kupata diploma na form 4 yako wakati kuna pcb,cbg kibao wenye 4? Unajua elimu ya afya inadharauliwa sana,siku hizi hata walinzi wa hospitali mitaani wanajiita madaktari! Nursing assistant ndo kabisa anatamani kufanya c/s.
 
mwez wa 9 mwanzon wanaweza wakatoa 1 oct c ndo watu wanatakiwa kuripot vyuon kwhy 2omben mungu.
 
Nimesikia hadi mwezi wa 10...hawa jamaa wanakata stimu kweli, manake nasikia kuanzia mwaka huu watakaojiunga na Clinical Officers na Nursing ni wale walifika form six tu...wale wa fom 4 labda ni certificate basi!!

Ngoja tuone

Hata kwenye tangazo lao wamesema hyo,diploma ya huko ni uwe 4m4 na c za bios na chemistry o uwe 4m6 pcb.afu certificate ni at least pcb zote D.bt nasikia walioomba ni wa chache kutokana na kigezo hcho.
 
Mwaka huu wamekaza kinoma sabu kwa pcb form six ni lazima uwe na principle zote 3 kuanzia 'E' ili ujiunge na diploma. sijui hata itakuwaje
 
hApo ndo pakuanza na certificate.bt watawachukua 2,waliokidh vigezo watakua wachache.
 
Yanaweza kutoka kama sio mwezi huu wa nane katikati bas 2subir mwez wa tisa
 
vip nyie tulieni yatatoka tu, mbona mnaharaka sana au nyie ndo mtakao choma sindano watu kichwani :A S 465:

yaani we unataka kupata diploma na form 4 yako wakati kuna pcb,cbg kibao wenye 4? Unajua elimu ya afya inadharauliwa sana,siku hizi hata walinzi wa hospitali mitaani wanajiita madaktari! Nursing assistant ndo kabisa anatamani kufanya c/s.

ukiwa form 4 na masomo ya Biology na Chemistry umefaulu kwa alama 'C' unasoma DIPLOMA. Kasome instruction vzuri.
 
mh jaman mi nilisikia wanatoa leo lakini mbk saiz akuna kitu kuna alieona tusaidiane
 
Back
Top Bottom