Wizara ya afya

ugonile

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
37
Reaction score
9
Jamanii eti majina ya watakao chaguliwa kujiunga na mwaka wa masomo 2013 / 2014 yanasemekana kutoka lini ngugu zangu
 
Be specific plz!mwaka wa masomo ngaz ipi!either diploma/university?
 
Nasikia kuanzi tareh 17-30 mwez wa 8 coz mwez wa 9 n mahandalz na tareh 14 mwz w 10 n kuripoti,
 
naombeni link ya kupata matokeo ya nursing mazee
 
wizara ya afya wametoa tangazo la walio chaguliwa kwa mwaka 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…