Wizara ya afya

Wizara ya afya

ugonile

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
37
Reaction score
9
Jamanii eti majina ya watakao chaguliwa kujiunga na mwaka wa masomo 2013 / 2014 yanasemekana kutoka lini ngugu zangu
 
Be specific plz!mwaka wa masomo ngaz ipi!either diploma/university?
 
Nasikia kuanzi tareh 17-30 mwez wa 8 coz mwez wa 9 n mahandalz na tareh 14 mwz w 10 n kuripoti,
 
Back
Top Bottom