Masomo yatachelewa safari hii kwani mpaka sasa ndo kwanza mitihani ya C.A inaendelea so ifwatiwe na ya C.O then ndo wanafunzi wapya waingie...so nadhani ni mwezi wa novemba ndio matarajio jamani. Kwahiyo msihofu bado muda upo sana. Tuwe na subira na kumuomba mungu atujarie katika matarajio yetu