wizara ya afya

wizara ya afya

Hv uchaguz utahusisha vyuo vya serikali pekee au hata private vyaweza husishwa!
 
SUBIRINI bwana mbona bado mwezi mzima kabla ya kuanza masomo

Masomo yatachelewa safari hii kwani mpaka sasa ndo kwanza mitihani ya C.A inaendelea so ifwatiwe na ya C.O then ndo wanafunzi wapya waingie...so nadhani ni mwezi wa novemba ndio matarajio jamani. Kwahiyo msihofu bado muda upo sana. Tuwe na subira na kumuomba mungu atujarie katika matarajio yetu
 
jamani hv haya matokeo ya wizara ya afya ni had lini kwa ss 2lioomba ngaz za chet? Ukisikia naomb unijulishe kwene namba 0714419691
 
Back
Top Bottom